Mashine za kukamua alizeti

Mashine za kukamua alizeti

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,466
Reaction score
1,558
Wakuu mwakani mambo yakienda vizuri zaidi naweza nikaanizisha ka kiwanda kadogo cha kukamua alizeti...mashine zake ni shilingi ngapi wadau?
 
Litter 100?mbona kama ndogo sana hiyo,itakuwepo kweli?
 
Mashine ya alizeti ya China 500000 pamoja na filter hii in bei ya mwaka juzi sijui kwa sasa inauwezo was kukamua gunia 50 kwa saa 10 Nina uzoefu na hii Nazi nilishaga kumua sana alizeti singida miaka ya nyuma
 
Inaitwaje hiyo mashine mkuu na inapatikana wapi?
 
Mashine ya alizeti ya China 500000 pamoja na filter hii in bei ya mwaka juzi sijui kwa sasa inauwezo was kukamua gunia 50 kwa saa 10 Nina uzoefu na hii Nazi nilishaga kumua sana alizeti singida miaka ya nyuma
Laki tano?
 
Milioni sita na nusu kwa sasa nenda samora au mtaa wa india dar utazipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom