Natafuta chuo cha kusoma

wanjizi

Member
Jun 30, 2016
14
0
Nina d mbili za chem na biology pia na d nyingine mbili nina four ya point 30.
Naombeni mlio jilan na vyuo
 
Kwanza ww sio mkweli ume sema una d mbili za Chem & bio lakini ukasema tena una d mbili ambayo masomo huja yataja halafu ukasema una four 30 hivi kweli una tuona ss ni vilaza hizo d nne ndio sawa na four ya 30? Kuni dalasani bwana mdogo
 
Back
Top Bottom