Halafu halotel wabovu kweli. Hawajitangazi! Nimewacheki kwenye internet wapo lakini ni matangazo tu kwamba wanaanza shughuli tanzania.Bundle zao na bei na codes zao za vmoney hata mimi nataka kufahamu.Ninaomba mtu yoyote mwenye uelewa na Bundle pricing hasa ya University offer aniletee bei zao Na pia List ya Vyuo walivyoanza navyo itakua vizuri zaidi. Pia siyo mbaya
ukaniambia mema na mabaya yao .Nimechoka huku niliko!
Je vipi code yao ya kuingia vmoney? (m-pesa ya halotel)Piga *148*66# majibu yote utayapata
Ni *150*88#Je vipi code yao ya kuingia vmoney? (m-pesa ya halotel)
UongoHalotel ni mtandao mbovu kweli. Website yao fyongo sana.
Sante!Ni *150*88#
Piga *148*66# majibu yote utayapata