Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari,naombeni mnisaidie ni friji gani ambayo ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani yenye gharama hadi ya sh 700000 humo,radio nzuri yenye mdundo mzuri pia na tv flat inch 32
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau wa JF naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata nyumba nzuri ya kupanga Mbeya, iwe selfcontained,isiwe kubwa sana ya wastani.msaada tafadhari.
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Habarini wanaJF kwa yeyote anayehitaji nyumba kuna nyumba ipo maeneo ya kimara korogwe dk 5 toka kituo cha mwendokasi aliyepo anatoka mwezi wa 1 tar 10 haina udalali ni chumba,sebule,jiko choo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Imetokea tu ghafla Laptop yangu imeacha kufanya kazi nimegundua Feni hai zunguki tena, nahitaji anayeuza feni naomba ani text 0767 35 35 13. Shukrani
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Now everyone can be a Wholesaler/agent with Low investment and least efforts and knowledge .. We bring you a premium brand, with lowest price, 'Kwality juu na bei chini' - BLU® mobile [USA]...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ninauza kiwanja kilichopimwa na Halmashauri ya mji wa korogwe Tanga. Maelezo kuhusu kiwanja ni kama ifuatavyo: Sehemu/ Mahali: Katika halmashauri ya mji wa korogwe, eneo la chifu Kimweri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wapendwa, MLD GROUP, Tunauza mchele kutoka mbeya kwa bei ya jumla. pia tunachukuwa tender za kusupply katika taasisi mbalimbali. i.e ; mashuleni, vyuoni na sehemu yoyote inayohitaji bidhaa...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
nauza tv flat inch 21 laki tatu,sabufa laki moja na kumi viko arusha monduli
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Mahali na Ukumbi: Itatangazwa baadae kwa watakaojiandikisha Tar: 25/12/2016 Kiingilio: watajulishwa watakaojiandikisha Fighters: Fransis Cheka/ Kaseba na bondia mgeni Aina ya pambano: bare...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu salam zenu nimejipiga kidogo na kuisoma namba za kisukuma nimewekelezea million 2.5 naomba mnisaidie kagari kazuri wakuu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF, Kuna mtu anauza LapTop aina ya HP.Ina Hard Disc 116 gb, CPU 2.40 GHZ, Processor: Intel(R) Core(TM);Duo CPU 2.40 GHZ. Note:Usijali sana kuhusu picha ni ubovu wa kamera...
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Simu ni. SamsungGT19082 version 4.2.2 storage 8.00GB haina tatizo lolote Lakin nyumu mfuniko hamna ulipote ila simu iko vizuri. Kwa contact nichek 0673265113 Bei laki 280 punguzo mpaka 250...
0 Reactions
2 Replies
896 Views
Inahitajika ya laptop aina hii tafadhli sms au piga 0767353513 kama unayo inahitajika kwa haraka.
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Habari zenu wanajamvi Kwa wale wanaopenda kupanga mwenge karibu kabisa na bamaga na Afrikasana Chumba chenye choo ndani (master room) sebule na jiko, ipo ndani ya geti parking ya gari ipo maji...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Chumba kipo njiapanda ya uwanja wa ndege baada tu ya kuvuka reli (DSM) kodi 150,000/ kwa mwezi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habarini....najua dukani au kwa wakala king'amuzi cha azam ni gharama naambiwa ni laki moja na 30 sasa mimi Nahitaji kwa mtu King'amuzi na Dish lake Full au mwenye King'amuzi kingine kizuri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Freezer linauzwa linapatikana Temeke, Dar es Salaam. Aina - Boss. Linafanya kazi vizuri na halina tatizo lolote. Bei 480,000/= 0684 141476
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumaini mu wazima Wakuu. Natafuta mashine ya kufyatulia matofali ya 'interlocking'. Anayefahamu yanapo patikana naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nawatakia siku njema.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Una Website/Blog Yako na unahitaji iwe designed na kuwa na muonekano mzuri? Una website/blog na unahitaji application? Je unahitaji website kwa ajili ya biashara yako? KARIBU Tunatengeneza...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Back
Top Bottom