je ndg wewe mwenyewe ni fundi wa computer, manake kutokuzunguka kwa feni kuna sababu nyingi, je unauhakiha kuwa hiyo feni ndio tatizo?Imetokea tu ghafla Laptop yangu imeacha kufanya kazi nimegundua Feni hai zunguki tena, nahitaji anayeuza feni naomba ani text 0767 35 35 13. Shukrani
Umefanikiwa?Imetokea tu ghafla Laptop yangu imeacha kufanya kazi nimegundua Feni hai zunguki tena, nahitaji anayeuza feni naomba ani text 0767 35 35 13. Shukrani
weka nione kama nliyonayo ni yenyewe ila iyo ya dell ni sh 90000Mwenye feni ya dell inspron 1507 nahitaji
Habarini. Me hua naaza spare nje ya inchi. Kama unahitaji spare tuwasiliane. Me naishi tabata kimanga 0764870930
Izo ni typing error mkuu. Naamini umenielewa nini namaanisha.Andika ueleweke inawezekana unawazo zuri tu.