Unataka kuwa wholesaler au agent wa simu?

Jan 8, 2016
69
6
Now everyone can be a Wholesaler/agent with Low investment and least efforts and knowledge ..

We bring you a premium brand, with lowest price, 'Kwality juu na bei chini' - BLU® mobile [USA]

Everything best price but HIGH quality, simply visit our Facebook page and see for yourself: BLU Mobile Africa ... Thank you!
 
Attachments

  • 1452431137215.jpg
    1452431137215.jpg
    44.4 KB · Views: 42
  • 1452431154612.jpg
    1452431154612.jpg
    24.4 KB · Views: 40
Now everyone can be a Wholesaler/agent with Low investment and least efforts and knowledge ..

We bring you a premium brand, with lowest price, 'Kwality juu na bei chini' - BLU® mobile [USA]

Everything best price but HIGH quality, simply visit our Facebook page and see for yourself: BLU Mobile Africa ... Thank you!
Iko poa hii na je ni aina gani ya simu?
 
Ukitaka kununua simu zetu Kali kutoka marekani [USA] >≥>

Mpigie MUDDY # 0713 666 393 - [kkoo branch] (DSM)

Whatsapp SAM [city mall branch] (DSM) 0657 714 397.

Hajji - 0717 146 364 [24/7 customer care] - ceo@blumobileafrica.Com

Website:
All BLU phones

Maelezo:
Simu za blu® ni za line mbili tena zote kasoro chache sana kama tablets ndio zina line moja.

Karibu Sana .. :)

--
 
Mi nahisi ungeweka hapa terms and conditions za kuwa wholesaler ili mtu ajipime kabisa kabla yakupiga simu... Picha za simu uweke hapa watu wahamasike and the like.. Tangazo humu ni bure, tumia fursa ipasavyo
 
Ukitaka kununua simu zetu Kali kutoka marekani [USA] >≥>

Mpigie MUDDY # 0713 666 393 - [kkoo branch] (DSM)

Whatsapp SAM [city mall branch] (DSM) 0657 714 397.

Hajji - 0717 146 364 [24/7 customer care] - ceo@blumobileafrica.Com

Website:
All BLU phones

Maelezo:
Simu za blu ni za line mbili tena zote kasoro chache sana kama tablets ndio zina line moja.

Karibu Sana .. :)

--
Mkuu, hizi namba ulizo weka zote Sio za kweli zaidi ilio patikana ni moja na alie pokea amesema hausiki.
Nanyi ni waongo na matapeli.
Mawausia members wote humu Jf msijihusishe wala msijaribu kuingia kwenye biashara na hawa wanao jiita Blumobile Africa.
Kama kuna anae taka kuhakikisha haya niyasemayo apige namba zilizowekwa hapo na mleta uzi
 
Now everyone can be a Wholesaler/agent with Low investment and least efforts and knowledge ..

We bring you a premium brand, with lowest price, 'Kwality juu na bei chini' - BLU® mobile [USA]

Everything best price but HIGH quality, simply visit our Facebook page and see for yourself: BLU Mobile Africa ... Thank you!
Nilijua utasema tembelea website. kumbe tutembelee facebook. pia badala utaje mnapatikana wapi huku tanzania kama tawi. wew unatuambie mpigie sam. Sam ndo nini. Taja ofisi
 
Hawa jamaa wapuuzi sana aisee....
Yaani nimeharibukiwa na sim yangu hapa, sasa nawapigia hao alio weka namba zao hapa.
Wengine hawa patikana na wanao patikana wana sema hawajui kitu kinacho itwa Blumobile.
Wapuuzi sana hawa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom