habari wana jamvi,
kuna baiskeli naiuza,ipo kama zile za Azam za kuuzia ice cream, ila hii unaweza kuuzia vitu mbali mbali kama ice cream, juice,barafu,vitafunwa, vitu vya urembo n.k...
CHAD CREATION CO LTD: Inakuletea punguzo la bei kwa viwanja vilivyopimwa ambavyo utakabidhiwa na hati baada ya malipo,tuna viwanja vya makamu,biashara na viwanda pia maeneo ya kilimo na ufugaji...
Mashamba yanauzwa, yapo maeneo mawili tofaut
Shamba la kwanza, lipo Mlandizi Makazi mapya, ukubwa wa heka tano, shamba lina miundo mbinu ya maji, kila baada ya mita 50 kuna bomba la maji...
ESSENCE CONSULT LIMITED
It's a consulting company dealing with preparing, writing, editing and printing of reports, Proposals, Write -ups etc.
Feasibility studies.
Preparing Business plans...
ESSENCE CONSULT LIMITED
It's a consulting company dealing with preparing, writing, editing and printing of reports, Proposals, Write -ups etc.
Feasibility studies.
Preparing Business plans...
Rejea kichwa cha habari, inatafutwa laptop aina ya HP kwa gharama isiyozidi laki 250,000/=. Hela ipo cash.
Tafadhali tuma sms kwenda namba hii 0754828637.
Asanteni.
Ktk kutafuta ufumbuzi wa tatizo langu..nilianzia kwa councilors "ushauri nasaha"akanambia maliza kwanza mambo yako ya ndani ya nyumba tyen ndo ntaweza kuwa msaada kwako..nikaona huyu hajakata kiu...
Habari wakuu..
Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi hapa mjini nimeamua uza kitanda na godoro nirejee kijijini nikajiajiri
Kitanda ni futi 5 kwa 6 pamoja na godoro Dodoma vimetumika miezi sita tu...
Wadau wangu wa nguvu leo nimefungua jiko hapa Mabibo jeshini Ambagai bar Karibu sana mje mnipe kampani. Asubuhi ni supu ya utumbo wa mbuzi, supu ya nyama na mtori, mchana ni ugali nyama choma na...
Kutoka blog ya Bongo5 Unaikubali simu yako ya Tecno? Shinda safari ya Uingereza ukajiachie na supastaa | Bongo5.com
Kampuni ya simu ya Tecno hii leo imezindua kampeni ya Christmas ambayo...
Kwanza kabisa niweke wazi kuwa mimi si mtaalamu katika eneo la ujenzi kwa maana ya quantity surveyor, architect, engineer. Kwa ufahamu wangu mdogo kama mtu wa kawaida ni kuwa, katika ujenzi wa...
habari,naombeni mnisaidie ni friji gani ambayo ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani yenye gharama hadi ya sh 700000 humo,radio nzuri yenye mdundo mzuri pia na tv flat inch 32
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.