Nahitaji King'amuzi cha Azam Tv!

Nahitaji King'amuzi cha Azam Tv!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Wakuu habarini....najua dukani au kwa wakala king'amuzi cha azam ni gharama naambiwa ni laki moja na 30 sasa mimi Nahitaji kwa mtu King'amuzi na Dish lake Full au mwenye King'amuzi kingine kizuri ani PM NIPO Dar
 
nipe 10k nikupatie
 
Hata mm nahitaji nipo Tanga,bajeti isizidi Laki moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom