Nauza LapTop PC ina miezi 7 tu.


Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,821
Likes
9,350
Points
280
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,821 9,350 280
Habari wadau wa JF,

Kuna mtu anauza LapTop aina ya HP.Ina Hard Disc 116 gb, CPU 2.40 GHZ, Processor: Intel(R) Core(TM);Duo CPU 2.40 GHZ.
Note:Usijali sana kuhusu picha ni ubovu wa kamera tu.Kompyuta ni mpya ina miezi 7 tu - Inauzwa kwa sababu za ghafla tu za kiuchumi zilizojitokeza na si vinginevyo.

BEI: Tsh 350,000/-

Mawasiliano:0659364407/ 0767755304
 

Attachments:

  • File size
    11.4 KB
    Views
    44
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,821
Likes
9,350
Points
280
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,821 9,350 280
Au hata kama mtu atakubali anipe pesa hiyo then nikaweka PC kama bond pia hakuna tatizo.Ni makubaliano
 
Elinizor

Elinizor

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
727
Likes
435
Points
80
Elinizor

Elinizor

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
727 435 80
Yaani mkuu hard disk 116GB alf RAM 2GB kwa 350k.................. Yaani hata 200k hupat

Hard disk ndgo mno kwa hyo bei yako...........

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,488
Likes
1,806
Points
280
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,488 1,806 280
Hako ka pc kako kawauzie wanakijiji wasiozijua mashine, hiyo pc ni version ya 2006 huko nyuma! Yaani uwezo wake mdogo mno. Sasa ivi tunazungumzia angalau iwe ya iCore series processors
 
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
10,821
Likes
9,350
Points
280
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
10,821 9,350 280
Hako ka pc kako kawauzie wanakijiji wasiozijua mashine, hiyo pc ni version ya 2006 huko nyuma! Yaani uwezo wake mdogo mno. Sasa ivi tunazungumzia angalau iwe ya iCore series processors
Tangu nijiunge humu JF kitu ambacho nimekigundua asilimia kubwa ya watu humuwako desperate, yaani ni watu lawama, matusi, kulalamika ovyoovyo, kukosoa kosoa kila kitu.Yaani wako depressed sana.Binafsi nakushauri - kaa nje ya JF kwa muda kidogo utarecover humu pameharibu wengi kisaikolojia.
 

Forum statistics

Threads 1,273,283
Members 490,351
Posts 30,476,567