Natafuta mashine ya matofali ya 'interlocking'

Natafuta mashine ya matofali ya 'interlocking'

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,931
Natumaini mu wazima Wakuu. Natafuta mashine ya kufyatulia matofali ya 'interlocking'. Anayefahamu yanapo patikana naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani na nawatakia siku njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom