Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Wadau wa JF naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata nyumba nzuri ya kupanga Mbeya, iwe selfcontained,isiwe kubwa sana ya wastani.msaada tafadhari.
Wadau wa JF naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata nyumba nzuri ya kupanga Mbeya, iwe selfcontained,isiwe kubwa sana ya wastani.msaada tafadhari.
Uzuri ungesema na eneo unalo taka ni wapi mama John au Mwanjelwa au Forest au Mbalizi eneo gani unalo taka zaidi?
Nyumba za aina hiyo sku hizi zinapatkana sehemu kibao, ukitaka uswazi SOKO MATOLA, au SAE,FOREST MPYA, FOREST YA ZAMANI popote unapata. Labda ungeuliza ni vipi utapata, dau lako tu muzeei, ukionana na madalali pale SOWETO utapata BLOCK T na hata UHINDINI ghorofani!
nyumba pale mbeya hazitafutwi sana....we nenda cha muhimu uwe na enough cash..........
Tatizo sijui maeneo yapi nimazuri iam very new there that is problem.ningepata mtu anayejua maeneo mazuri walau anipe mwangaza then from there i can do something, but i really dont know.
Pole mama B
najaribu kuwasiliana na jamaa walioko kule jioni ya leo, nikifanikiwa kupata mawasiliano ya dalali ntakupm. Hiyo institute iko nje kabisa ya Mji, na ji. Mambo ya bei utaongea na dalali mwenyewe (akipatkana)