Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Become a CCTV camera installer/Technician just by attending this short course provided by Dsat Technology. TRAINING SHORT COURSE ON CCTV CAMERA INSTALLATION Working as a CCTV operator...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Nauza viwanja vilivyopo kilwa road mwandege nyuma ya kiwanda kikubwa cha tajir bakhresa , Bei mil.3 tu, Ukubwa ni kipimo cha futi 50×50, Woote mnakaribishwa!! Asanteni
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Heshima kwenu wadau, Shule ya watoto wadogo imefunguliwa Pongwe,umbali wa nusu kilomita toka Pongwe bus station. Shule inamilikiwa na mwalimu kwa taaluma na itafundishwa na kuongoza naye.Ina...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Nauza nokia lumia 800 from UK in new condition , bei 390000 mwenye kuhitaji please call 0713 404014 niko dar bei 320
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba ipo chanika Sitting room Master 1 Single room 2 Public toilet Huduma muhim znaptkana kwa ukaribu 0656 698232
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf, kunadharura imetokea iliyosababisha uhitaji wa fedha kwa haraka inabidi niuze gari hii Naomba kwa atakaye hitaji tuwasiliana kwa Namba 0713926364 Bei ni Tsh 13 mil Karibuni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina eneo la kiwanja maeneo ya Kange -TANGA , nyuma ya kiwanda cha PEMBE, eneo hili linafaa sana kwa kuwekeza katika biashara ya hardware ,kiwanja ni kikubwa sana karibia hatua 40x40 . Kwa...
0 Reactions
5 Replies
936 Views
nauza nyanya fresh toka shambani ( (kiluvya )box shilingi 25,000/= na cherry tomatoes (vidogovidogo) kwa kilo shilingi 4,000/= nyanya zote ni fresh. tafadhali wasiliana nami kwa namba 0621095977
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauza laptop SIFA ZAKE. * AINA :- HP probook 6360B * Processor :- core i5, 64 bit, 2.5Ghz * HDD :- 500 GB * RAM :- 4GB * Media :- DVD WR * Screen :- 13 Inches...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nipo dsm bajeti laki nne taskimu 400,000 .....samsung inch 32
0 Reactions
9 Replies
1K Views
zinapatikana kwa bei sana zipo za aina mbali mbali kama LG na zingine kibao. Mawasiliano. 0673265113
0 Reactions
6 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zipo mbili hizi rupia. Moja picha yake inasimba mmoja na mtende. Ya pili inasimba wawili na mtende. Kwa wenye kuzihitaji wanione
0 Reactions
8 Replies
45K Views
Nipo Morogoro,nahitaji balo la shuka za mtumba,kwa anayefanya hiyo biashara hiyo tuwasiliane PM...ninahitaji haraka
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, mambo vipi? Mimi ni Application/Software Developer. Nina System kwa ajili ya Hospitals. Ninatafuta Mtu anayeweza kuwa Markertier wa hiyo System. Kazi yake ni Kutafuta Mteja /Wateja tu...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu kwa anayejua ama anaeuza laptop aina ya accer,,hp,,toshiba ama lenovo bajeti niliyo nayo laki nne,,,,,
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello. Naomba kwa muuzaji wa office lockers nikipata zenye milango kuanzia 6 hadi 8 itakua nzuri zaidi. Kama unazo na unauza plz contact me bei zake na pia nitumie picha kwa PM.
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa jamii forums, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninauza kwa kuwa nimepatwa na matatizo kidogo bei ni 150k deki na tv, Deki nimeinunua...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Ipo solar module used ya 100watts Inapatikana dar manzese
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom