TANGAZO: grand street fight match!!!

TANGAZO: grand street fight match!!!

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,113
Mahali na Ukumbi: Itatangazwa baadae kwa watakaojiandikisha

Tar: 25/12/2016

Kiingilio: watajulishwa watakaojiandikisha

Fighters: Fransis Cheka/ Kaseba na bondia mgeni

Aina ya pambano: bare fist (hakuna gloves), hakuna refa, hakuna rounds.

Mwisho wa pambano: ni kifo au kukiri kushindwa kwa mchezaji mmoja

Zawadi: mshindi atakuchua zawadi yote. (Winner takes all).

NB: chakula na vinywaji vitakuwa covered kwenye Kiingilio.

Idadi wa wahudhuriaji haitazidi 150.

registration is now open via PM.

"Kill or be killed, let the game begin"

MC ni Jeff koinange kutoka Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Suicide mission

Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
 
Nipigwe ngumi afu nispate kitu,si bora hzo nguvu nikabebee zege
 
Naomba kushiriki weka wazi zawadi halafu kwa tafsiri ya street fight unaruhusiwa kutumia chochote kilicho karibu ie mawe kung'ata yaani counter attack
 
Naomba kushiriki weka wazi zawadi halafu kwa tafsiri ya street fight unaruhusiwa kutumia chochote kilicho karibu ie mawe kung'ata yaani counter attack
Huwezi kung'ata, tutawavalisha grills na hakuna kutupiana pembejeo Kama viti, tv nk. Ndo maana tukasema bear fist.
 
Back
Top Bottom