Vyumba viwili(2) vinapangishwa Mwanamnyamala

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,418
1,980
Habari.

INAPANGISHWA:
Ni vyumba 2 (Viwili) kati ya hivyo kimoja ni Masta,
Yenye Sebule kubwa na Jiko Lake pamoja na Choo cha Nje kwa Wageni.

Nyumba ina Sakafu ya Tiles, Ceiling ya Plywood na Dirisha za Nyavu.

Maji ya Dawasco yapo.

Nyumba ipo ndani ya Ukuta lakini Gari haiingii.

Kodi ni Tshs. 350,000(Laki Tatu na Nusu) Kwa Mwezi.

Eneo:
MWANAMNYAMALA MWINJUMA

Haipo Vichochoroni, Dakika Tatu tu upo Kituo cha Daladala.

Maulizo au kwa Shida yoyote nyingine inayohusu kuuza, Kununua, Kupanga Nyumba, Viwanja na Mali yoyote nyingine usisite kuwasiliana nami,
Simu:+255-714-591548.

ZINGATIA:
Mwenye kuhitaji Picha atatumiwa WhatsAp kutokana na sababu za kiufundi imeshindikana kuziweka hapa.
 
Weka bei
 
Back
Top Bottom