Tubadilishane shamba na gari noah vox

zebanga watelanga

JF-Expert Member
May 3, 2013
862
398
Shamba lipo Tanga Pongwe panapojengwa mji mpya. Heka nne (4) inatakiwa kubadilishana na noah namba D new medel au noah vox.

Sifa za shamba;
Kilometer mbili na nusu toka main road ndio kunajengwa mji mpya,
shamba ardhi yake inakubali kila kitu, nazi, michungwa, miembe, mahindi, mihogo na maharage.

0712690760
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom