Nataka Dagaa wa Mwanza

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,134
Wana JF
Nataka Supply wa Dagaa wa mwanza aliyetayari kuniuzia, nipo Dumila na Temeke Dar es salaam
Karibuni.
 
Mkuu ukikosa nicheck nikuletee, hawana mchanga kwasababu na waandaa mwenyewe na kuwasafirisha kuja dar na mikoa jirani
 
Wana JF
Nataka Supply wa Dagaa wa mwanza aliyetayari kuniuzia, nipo Dumila na Temeke Dar es salaam
Karibuni.
weka mawasiliano....alafu ni kiasi gani kinahitajika....nikuletee mpaka ulipo.......njoo PM kwa ufafanuzi zaidi
 
Pia mimi ninao wale ambao wameshakaangwa tayari unakula mpaka vichwa,hawana mchanga unaweza ku pack na kuuza supermarket pia wamechumvishwa,karibuni.
nipo dar juml ana reja reja.(ambao wako kwenye paketi nauza buku kwa mlaji na 700 kwa muuzaji
 
Bei ya kilo ni kiasi gani???
 
Pia mimi ninao wale ambao wameshakaangwa tayari unakula mpaka vichwa,hawana mchanga unaweza ku pack na kuuza supermarket pia wamechumvishwa,karibuni.
nipo dar juml ana reja reja.(ambao wako kwenye paketi nauza buku kwa mlaji na 700 kwa muuzaji
Namba plz
 
Back
Top Bottom