Nauza Toyota Caldina new model

Nauza Toyota Caldina new model

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,034
Reaction score
2,124
Habari zenu waungwana?

Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002

Ukubwa wa Engine Cc 1990

Kilometa elfu 63,000

Rangi ya Gari Pearl white

Namba ni DFT

Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
 
Habari zenu waungwana?

Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002

Ukubwa wa Engine Cc 1990

Kilometa elfu 63,000

Rangi ya Gari Pearl white

Namba ni DFT

Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.

Unapatikana mkoa gani boss? Na kama ingewezekana tupia na kapicha kidogo tuone muonekano wake kwa sasa itasaidia kidogo kuthaminisha
 
Unapatikana mkoa gani boss? Na kama ingewezekana tupia na kapicha kidogo tuone muonekano wake kwa sasa itasaidia kidogo kuthaminisha

Nipo Dar mkuu. Nashindwa kuweka picha, ila ngoja nipate Elimu niweke.
 
Magari yote yamepaki chini ya miti huko mitaani;
nani hata mwenye ubavu wa kumiliki gari awamu hii?
 
Habari zenu waungwana?

Nauza Toyota Caldina ya mwaka 2002

Ukubwa wa Engine Cc 1990

Kilometa elfu 63,000

Rangi ya Gari Pearl white

Namba ni DFT

Ipo katika hali nzuri sana bei milion 9.
Weka picha
 
Wanao penda vizuri wameshachukua.. wekeni mziki blaa blaa sitaki kusikia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom