kimsboy JF-Expert Member Oct 17, 2016 9,784 20,155 Jan 13, 2017 #1 Weka bei, nahitaji kingamuzi na dishi
Vegetarian JF-Expert Member Apr 7, 2012 651 495 Jan 13, 2017 #2 Kwa kuwa wahusika ni wakazi wa Dar ngoja mimi wa mkoani nitulie
N nsereko m JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,930 2,170 Jan 14, 2017 #4 Natafuta ngazi nipande juu ya bati nishushe hili dishi la zuku niliponde ponde
T twaleeb JF-Expert Member Oct 13, 2016 231 83 Jan 16, 2017 #5 nsereko m said: Natafuta ngazi nipande juu ya bati nishushe hili dishi la zuku niliponde ponde Click to expand... Sababu gn mpk unataka kuliponda
nsereko m said: Natafuta ngazi nipande juu ya bati nishushe hili dishi la zuku niliponde ponde Click to expand... Sababu gn mpk unataka kuliponda
N nsereko m JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,930 2,170 Jan 16, 2017 #6 twaleeb said: Sababu gn mpk unataka kuliponda Click to expand... mkuu fungua hiyo link jamaa ameeleza sababu.
twaleeb said: Sababu gn mpk unataka kuliponda Click to expand... mkuu fungua hiyo link jamaa ameeleza sababu.
Idimi JF-Expert Member Mar 18, 2007 15,304 11,119 Jan 16, 2017 #7 kimsboy said: Weka bei, nahitaji kingamuzi na dishi Click to expand... Uko pande zipi ndugu. Tuanzie hapo kwanza
kimsboy said: Weka bei, nahitaji kingamuzi na dishi Click to expand... Uko pande zipi ndugu. Tuanzie hapo kwanza