BEI ZA VIATU KWA JUMLA

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,577
13,418
Habari za jumatatu wakuu, kuna ndogo angu kaamua kujiajiri mwenyewe.

Ameanza na mtaji wake mdogo wa laki mbili huwa anachukua viatu dar nakuvipeleka mkoani Kama Moro na Dodoma.

Sasa anahitaji kupata mtu Mwenye bei nyepesi maana analalamika kuwa wachina wanamuuzia kwa bei kubwa.

Ni sendo za akina dadA za yebo yebo Kama kuna mtu ana mzigo Upo stoo bas anion.

Hata Kama kuna nguo za mtumba zipo stoo kwa bei chee bas tuwasiliane wakuu.

Ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom