Bei ya kreti la soda kampuni ya pepsi ni kiasi gani

michaelnoah

Member
Jul 27, 2015
16
5
Naomba msaada kwa yoyote anaejua bei ya manunuzi kwa kila kreti za pepsi na kama kuna idadi flani ya kreti ukichukua kuna kuwa na discount ? Msaada tafadhali
 
Dodoma bei ya jumla ni 8,400 TZS lakini reja reja wanafanya 12,000 TZS
 
Back
Top Bottom