Sleeping Tents( Canvas material) nakodisha na kuuza.

AFRICA101

Senior Member
Jul 28, 2015
140
48
Habari wadau..!

Ninazo sleeping tents canvas material za ukubwa wa 3m² na nyingine 2.5m² zote zipo kwenye hari nzuri. Kwa anae hitaji please ani PM.
1483202180396.jpg
1483202202603.jpg
1483202227192.jpg
 
Nahitaji kujua unakodisha kwa bei gani? halafu una size kubwa zaidi ya square metre 3?
 
Mi nanahitaji vile vigodoro vya upepo, kama unavyo waweza uza sh ngapi?
 
Back
Top Bottom