NYUMBA INAHITAJIKA.

New Idea

Member
Jul 2, 2015
14
45
Chumba na sebule vinahitajika. Maeneo iwe Kimara, Ubungo ama sehemu ya karibu na barabara yapitayo magari ya mwendokasi ili iwe rahisi kufika Stesheni. Iwe na umeme na maji. Gharama isizidi 100,000/=. Ulipaji miezi mitatu mitatu hadi sita. Kuwe na umeme na maji.
 

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,824
2,000
Kipo chumba na sebule, choo ndani. Maji hakunaga kimara. Kodi 100k kwa mwezi, inaanzia miezi 6: dk 5 hadi mwendokasi; luku ni kuchangia na wengine. 0692138944
 

mimi136

New Member
Dec 2, 2016
2
20
mi pia nahitaji nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(kikiwa na choo ndani itakua poa zaidi ila hata public toilet haina shida),sebule na jiko maeneo ya Makumbusho au Mabibo kwa budget ya 150,000/ kodi ya miezi 6
=
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom