MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,191
- 7,319
habari wadau nauza friji ndogo haina ya sanyo- mgh.. nimeitumia miez mitano...
sababu ya kuuza nimenunua friji kubwa zaidi baada ya kupata mtoto.. imekuwa haitutoshi...
picha hizo hapo attached mniwie radhi simu yangu haitoi picha vizuri sana.. ila naimani zinaonekana..
bei ni laki 2 na nusu tu... na ipo fixed...
mahali ilipo ni ubungo external..
mawasiliano ni +255 0625590289