Bei ya simu TECNO C9

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,058
2,000
Wadau,

Naomba anayejua panapouzwa simu mpya ya TECNO C9 pamoja na bei yake, kwa Dar-Es-Salaam, atujuze.

Natanguliza shukrani!
 
Attachments

  • Tecno-Camon-C9-Price-In-Nigeria-Kenya-Jumia-Konga.png
    File size
    150.1 KB
    Views
    797

cosM

Senior Member
Sep 6, 2013
194
250
Wadau,

Naomba anayejua panapouzwa simu mpya ya TECNO C9 pamoja na bei yake, kwa Dar-Es-Salaam, atujuze.

Natanguliza shukrani!
Mambo vp mkuu, hiyo simu naijua. Iko vizuri sana. Feature ambayo inabamba zaidi ni uwezo wa camera zake. Camera ya mbele na nyuma zote ni MP13. Ni quality ya Ukweli utazani sio tecno. Instant beauty haihitaji usubiri ili upige picha itoke vizuri. Kwa sasa na recommend hii ndio simu bora kuliko yoyote ile. Bei ni 400 hadi 425.
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,058
2,000
Mambo vp mkuu, hiyo simu naijua. Iko vizuri sana. Feature ambayo inabamba zaidi ni uwezo wa camera zake. Camera ya mbele na nyuma zote ni MP13. Ni quality ya Ukweli utazani sio tecno. Instant beauty haihitaji usubiri ili upige picha itoke vizuri. Kwa sasa na recommend hii ndio simu bora kuliko yoyote ile. Bei ni 400 hadi 425.

Ahsante Mkuu, Sasa naipata wapi Dar?
 
cosM

Senior Member
Sep 6, 2013
194
250
Ahsante Mkuu, Sasa naipata wapi Dar?
Nenda city mall pale mjini au quality center duka la airtel inapatikana. Sasa hv kuwa makini katika Kununua simu vuguvugu la TCRA linaendelea. Nuunua simu kwenye duka maalum. Pata warranty na receipt ya EFD. Ili ikizimwa uwe na hadi.
 
cosM

Senior Member
Sep 6, 2013
194
250
Nenda city mall pale mjini au quality center duka la airtel inapatikana. Sasa hv kuwa makini katika Kununua simu vuguvugu la TCRA linaendelea. Nuunua simu kwenye duka maalum. Pata warranty na receipt ya EFD. Ili ikizimwa uwe na hadi.
Hadi=haki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom