Techno C 9 inauzwa

magesa77

Senior Member
May 22, 2011
123
15
Nauza simu Techno C 9 , almost mpya. Ina screen protector ya kioo, back cover nzuri sana na ya kisasa, iko pamoja na kila kitu chake kwa maana ya charger, headphones, kitabu chake pamoja na box lake. Napatikana Dar es salaam, simu no. 0757 393623 au 0778 101177. Bei shs 250,000/= ( Laki mbili na Elfu Hamsini tu). Simu ina guarantee ya mwaka mzima.
Sifa zake: Camera back & front - 13 MP, Non - removable 3000mAh Li-Ion battery, Android 6.0 Marshmallow, Processors 1.3GHz octa-core Cortex-A53 CPU, MediaTek MT6753 chipset, Mali-T720 MP4 GPU, Size 5.5 inches screen, 4G - LTE.

Karibu, bei ya offer hiyo kwa ubora wa simu hii.
 
Mwanangu kwa hela hiyo hapana. Simu ni kama mpya kabisa, used for 03 weeks. Jiongeze kdg upate kitu bora kabisa.
 
mkuu mwaka mpya huu pia mwezi January majukum ya hela yanaongezeka sana kula 170,000/= Kama kweli umeamua kuuza
 
Magesa weka number ya simu hasa ya tigo nikupigie tuongee bei,kwanza uko wapi tanzania hii?
 
Simu imeongezewa ubora kwa kuwekewa grass screen protector pamoja na back cover kali sana . Hiyo bei iko chini. Kuhusu picha nitaweka maana ndo naitumia sasa hivi, nitaipiga baadaye nitawawekea hapa.
 
Picha hizo
 

Attachments

  • IMG-20170101-WA0051.jpg
    IMG-20170101-WA0051.jpg
    77 KB · Views: 35
  • IMG-20170101-WA0052.jpg
    IMG-20170101-WA0052.jpg
    111.6 KB · Views: 40
  • IMG-20170101-WA0053.jpg
    IMG-20170101-WA0053.jpg
    129.2 KB · Views: 29
Kama unaweza kuchukua 200 cash Nitafute Kwa 0753241747.
Sasa ivi tufanye biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom