Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bado mpyaa nauza spare 330000 nipm tufanye biz
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Naomba mnitajie kampuni zilizopo hapa Tanzania zinazouza pump kubwa za maji. Hasa kampuni za Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa hekari 10 linauzwa. Lipo kijiji cha Ulaya kata ya Zombo. Karibu Sent from my HTC Desire C using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta mashine ya ku print tshet anaejua zinapo patikana anisaidie anichek no 0718634677/0621017734
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Viwanja viwili Ilala Buyuni. Block C, Size sqmtr 706@ Vimepimwa. Bei: 15M Umbali na Barabara ya lami ni , 0.3Km=(Mita 300) Umeme tayari. Huitaji hata nguzo. Majirani wote wametoboa Maji Baridi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, Heshima kwenu. Naitwa Victor Dawson mkazi wa Arusha. Natafuta kazi ktk kampuni ya kitalii kwani bila kushikana mkono ni ngumu kidogo. Kwa mwenye wazo au msaada...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Natafuta gari aina ya Raum au spacio offer ni 6M iwe nzuri nicheki inbox tuwasiliane!.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama upo na private car nchek hapa pesa ipo maana mabas yameshajaa ntafute 0692713599 , npo mwanga stend kwa sasa
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari? Nauza incubator yangu ya mayai 1056. Ni mpya ipo kwenye box haijawahi kutumika tangu iliponunuliwa. Ni full automatic kuanzia kugeuza mayai, kutawala joto na unyevunyevu na kuongeza maji...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ninahitaji kufahamu bei ( jumla na rejareja) na sehemu zinapatikana. Mimi nipo Dar.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Canon 2420 Photocopy inauzwa ni Mpya ipo Dsm kinondoni biafra ina miezi 5 tangu inunuliwe na haina tatizo lolote kwa anayeitaji tuwasiliane kwa 0714803551
0 Reactions
3 Replies
964 Views
Habari wana Jf. Bei ni 2.7mil maelewano yapo. Ukubwa ni mita15*15. Kilomita moja kutoka barabara ya lami ya Chanika(Kwa wenyeji wa Chanika ni jirani na pale kwa Mzelu(Chabupu) kwa miguu ni...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Condition: Mashine iwe katika hali nzuri. Na iwe haijawahi kupata major accident. Location: Dar es salaam Bajeti: 700,000 (Subject to change)... Intersted seller, nipatie details za chombo chako...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Full Ac, Maji baridi 24/7 hrs, Umeme ulipii wala maji ulipii, malipo kwa semester 1 au 2 ruksa kupika pia ruksa. Piga kwa Maulizo 1. 0713 506472 2. 0758 506472 3. 0755 014110 Note that it's a...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
habari wadau kuna chumba na sebule vinapangishwa ubungo near mabibo hostel.. kuna umeme na maji choo cha kushea wapangaj watatu.. vyumba sio vikubwa sana.. kodi inalipwa.miez sita. ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
JF members naomba msaada kwa yeyote anayoijua website ya kununua smartphone kwa bei ya kawaida na haraka kutoka nje
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jipatie Redcups bei nafuu 12pc's(1dozen)=10,000/= 6pc's(½dozen)=5,000/= 1pc(1piece)=1,000/= WhatsApp/mobile:0716385824
0 Reactions
4 Replies
662 Views
I we katika ubora mzuri chaji na earphones ziwepo iwe na ubora mzuri sana kwa Nina laki 190,000/= Njoo pm. Sasa hivi....
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom