Natafuta vibanda vya biashara.

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Ndugu zangu natafuta vibanda vidogo vilivyotengenezwa ambavyo vinahamishika kwa ajili ya biashara ndogondogo naomba kujua



NIMESHAPATA KIBANDA
 
Mpigie huyu hapa 0786206089 - Michael! Pengine unaweza enda ofisini kwake ukaviona na vingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom