Simu inahitajika

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
I we katika ubora mzuri chaji na earphones ziwepo iwe na ubora mzuri sana kwa
Nina laki 190,000/=

Njoo pm. Sasa hivi....
 
Mm nina Tecno W4 ina laki na Sabini kama upo tyr nicheck kwa no 0629166514 nipo shinyanga mkoa simu ina charge na ina muda wa miezi miwili
 
Picha mkuu
IMG_20170102_125010.jpg
IMG_20170102_124942.jpg
IMG_20170102_124925.jpg
 
Nenda dukani watakuuzia ya laki 3 kwa bei hiyo.....hali ngumu siku hizi utagombaniwa hatari januaru hii kuna wengn wanarudisha frem hawana pesa ya pango .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom