Piki piki inahitajika ASAP

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,677
11,675
Condition: Mashine iwe katika hali nzuri. Na iwe haijawahi kupata major accident.
Location: Dar es salaam
Bajeti: 700,000 (Subject to change)...
Intersted seller, nipatie details za chombo chako pamoja na contacts zako ASAP...

Njoo PM au hata hapa hadharani as you would prefer.

Uwe tayari kuongozana nami kuhakiki uhalali wa mmiliki kwenye mamlaka zinazohusika kabla hatujafanya malipo. Gharama zote juu yangu...

Mapendo,
TANMO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom