BIASHARA YA SAMAKI MOSHI/ARUSHA
Hivi karibuni nataka nianzishe biashara ya kusafirisha samaki waliokangwa pamoja na waliobanikwa kwa pamoja kutoka ziwa viktoria(Mwanza) kwa mtaji kidogo uliopo...
Smartfone hizo zinauzwa ila zina matatizo.
Samsung Tab 3 imeharibika display.
LG G3 inashida ya Network.
Zinanijazia nafasi ndani kwa anaeona zinamfaa aniPM.
Doctor usinga tiba asili nibingwa wa matatizo mbali mbali kama kupandishwa yota, kupandishwa cheo kazini, kurekebisha ndoa zenye migogoro, kupata pete yabahati, dawa ya masomo darasani, dawa ya...
Tunakuletea tena Bonge
la Event ya kufunga mwaka 2016
hii ni baada ya
Member wake kuwa na kiu kubwa ya Event
Kwa Ajili ya Mitandao Yote ya Kijamii Hapa
BongoLand TZ na hii itafanyika pale
South...
Wakuu shikamooni,wadogo marhaba.
Jamani mwenzenu nina kahela kidogo, sasa nawaza cha kufanya. Kwanza niliwaza kujenga chumba na sebule ila nikaona labda niiwekeze katika biashara ili izae ndio...
Mafunzo haya yamekua yakitolewa kwa gharama kubwa ,Lakini Digital Poultry itatoa mafunzo haya kwa watuwote ambao wangependa kujifunza namna ya kuunda mashine za kutotoa mayai ya kuku lakini hawana...
Habari za ndugu.
kama nilivyo ainisha katika kichwa cha habari hapo juu.
ninauza Ms Project Package pamoja na jinsi ya kuitumia Program hiyo, katika kuanzisha na kusimamia miradi mbali mbali...
Habari zenu wakuu!
Naomba kufahamishwa taratibu na gharama za uagizaji wa mashine ya kutotolea vifaranga toka nje ya nchi zinakuwaje ?
kodi kam zipo ni kiasi gan?
ghrama za bandari pia .
Wadau nauza kiwanja changu kiko bunju b upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo,pale bunju mwisho unapanda kushoto kama kilometa 3 kwa kutumia ile njia kubwa iliyotengenezwa vizuri siku za...
Wakuu habari zenu leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kupatana kwa lengo la kutaka kununua smartphone nzuri kwa gharama nafuu ghafla nimekutana na chapisho la muuzaji mmoja akiuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.