Anayetoka Moshi kwenda Dar na Private car

Ina maana magari yamejaa au hawataki kusimama hapo Mwanga? Najua kuna kampuni ambazo hawaingii stand ya Mwanga kama vile Dar Express, Kilimanjaro
 
sio kuishi tu bali ni mzaliwa wa Wilaya ya Mwanga. Mwanga ndio kwetu, Mwanga ndipo ninapopatia riziki yangu ya kila siku
sehem gani mwanga hapo, mimwenyew ndio home kabisa yan nmetoka likizo hyo jana... inaweza ikawa nakujua lazma maana mimi watu wote wa ile wilaya nawajua
 
Back
Top Bottom