Sontkowang
Member
- Oct 15, 2016
- 15
- 5
Ninahitaji kufahamu bei ( jumla na rejareja) na sehemu zinapatikana. Mimi nipo Dar.
Vipi kuhusu bei ya T-shirt moja na bei ya jumlanjoo sinza mitaa ilipo hotel ya lion ulizia mahali wanapoprint T-shirt ukifika utaona sampo ya tulizofanya pia hata kubuni kwa jinsi upendavyo