chumba na sebule vinapangishwa ubungo mabibo hostel.... kodi 80,000 kwa mwez

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,191
7,310
habari wadau kuna chumba na sebule vinapangishwa ubungo near mabibo hostel..

kuna umeme na maji

choo cha kushea wapangaj watatu..

vyumba sio vikubwa sana..

kodi inalipwa.miez sita.

ni vyumba vya uani viko ndani ya fensi na kuna
geti..

kwa wahitaj piga simu 0718 537 216
only bachelor....
 
Nitumie picha whatsap kwenye namba hii 0655646568
 
Unataka only Bachelor? Vijana wahini Chumba na Sebule utakavyovikuta Ni offer
 
habari wadau kuna chumba na sebule vinapangishwa ubungo near mabibo hostel..

kuna umeme na maji

choo cha kushea wapangaj watatu..

vyumba sio vikubwa sana..

kodi inalipwa.miez sita.

ni vyumba vya uani viko ndani ya fensi na kuna
geti..

kwa wahitaj piga simu 0718 537 216
only bachelor....
Mi nataka chumba kimoja bajeti yangu ni elfu40 nipo tayari kutoa miezi sita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom