B40
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 820
- 537
Wakuu shikamooni,wadogo marhaba.
Jamani mwenzenu nina kahela kidogo, sasa nawaza cha kufanya. Kwanza niliwaza kujenga chumba na sebule ila nikaona labda niiwekeze katika biashara ili izae ndio nijenge. Hela nimerithi, nimefikia hitimisho ninunue Noah ili niitumie katika biashara ya usafiri.
Kama kuna mtu anajua ninapoweza pata Noah ya bei nafuu yenye hali nzuri anisaidie.