Event ya kutanisha watumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii wanaoishi Bongo

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Tunakuletea tena Bonge
la Event ya kufunga mwaka 2016

hii ni baada ya
Member wake kuwa na kiu kubwa ya Event

Kwa Ajili ya Mitandao Yote ya Kijamii Hapa
BongoLand TZ na hii itafanyika pale

South Beach Kigambon

Tarehe 31 Mwezi wa 12 mwaka huu. Muda kuanzia saa 12 jion Hadi Majogoo

Event hii itakutanisha watumiaji wa mitandao
mbalimbali ya kijamii wanaoishi Bongo so hii
itakuwa poa kwako kuja kukutana na friends/
followers na group members wako LIVE kwenye
Bata La Nguvu.

Kama Mdau na shabiki Hautakiwi Kuikosa Hii
Maana Tunakutana Mastaa Wote Kwenye Bata 1
Kubwa na Kuenjoy Life huku burudani ikiendelea
kutoka kwa wasanii wako wote wakali.

Vinywaji Chakula Vitakuwepo

Parking ipo kubwa tuu Na ulinz upo wa kutosha

Waiter Zungusha Tena

NB, WEKA KWENYE KALENDA YAKO NA
UMWAMBIE NA YULE NA YULE TUJE KWA
PAMOJA KU PARTY...........
 
Jamii Forum Party inakuletea tena Bonge

Naona umeamua kuwarahisishia Kazi Police wa Central STESHENI kuja kutukamata kiulaini Members wa JF wanaotutafuta kwa muda mrefu tena tukiwa tumelewa chakari kisha pombe zikatuishie rumande kwao. Nawatakieni tu kila la kheri na hiyo JF Party yenu na hakikisheni kila mmoja wenu ana Tsh 7,000,000/ za fine.
 
Acha nidham ya uwoga buana

Upo ktk nchi yako zen unakuwa na uwoga ndugu yangu

Kwan kibaya kipi hadi ujishtukizie kuwa police watakuja kukukamata
 
Kweli kabisa acha tuwape TISS mapumziko wamalizane na hili swala la JF.

Sasa hivi kuna mtu atakuja na pendekezo la kila mdau aje na id yenye username ya JF siku ya party.
 
Acha nidham ya uwoga buana

Upo ktk nchi yako zen unakuwa na uwoga ndugu yangu

Kwan kibaya kipi hadi ujishtukizie kuwa police watakuja kukukamata

Bado hujanishawishi Mkuu na siyo kwa Police wa Tanzania ambao kwa sasa wanapiga Kazi sana kwa kufuata maelekezo ya kutoka juu ambako sijui ni kwa Mwenyezi Mungu au kwa Mkemia Mwanasiasa.
 
Back
Top Bottom