Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Wadau nauza kiwanja changu kiko bunju b upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo,pale bunju mwisho unapanda kushoto kama kilometa 3 kwa kutumia ile njia kubwa iliyotengenezwa vizuri siku za karibuni.Ukubwa ni miguu 22 kwa 20,njia ipo mpaka hapo,maji na umeme vipo na mtaa umejengeka sana.Kiwanja kina hati ya serikali ya mtaa unaweza kupata ya ardhi kwa kuprocess wewe mwenyewe.Kiwanja kizuri sana kwa kujenga na mimi mwenyewe ndiyo mmiliki,nina shida ya hela ya haraka.Tuwasiliane 0683-796778 au whatsapp 0628-615685.Nitafute kwenye simu JF huwa naingia mara chache sana ktk wiki.....Karibu