Download app ya kupatana, ifungue, piga picha, upload, weka bei pata pesa!!!Smartfone hizo zinauzwa ila zina matatizo.
Samsung Tab 3 imeharibika display.
LG G3 inashida ya Network.
Zinanijazia nafasi ndani kwa anaeona zinamfaa aniPM.View attachment 426703View attachment 426704
Ila unaongea ukwel angekuw mwngn hasem matatzo ykeSmartfone hizo zinauzwa ila zina matatizo.
Samsung Tab 3 imeharibika display.
LG G3 inashida ya Network.
Zinanijazia nafasi ndani kwa anaeona zinamfaa aniPM.View attachment 426703View attachment 426704
Lg G3 bado ipoDar es salaam
mi nina tatizo la kukariri, kama hakutaja aliko tambua ni wa Dar es salaamUko mkoa gani