PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Wakuu habari zenu leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kupatana kwa lengo la kutaka kununua smartphone nzuri kwa gharama nafuu ghafla nimekutana na chapisho la muuzaji mmoja akiuza smartphone aina ya iPhone 6s kwa tsh laki 3... hivi hiyo bei kakosea au maana nasikia ukienda madukan kununua hyo simu bei yake ni kuanzia milioni