Natafuta soko la samaki Arusha/Moshi

Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
378
500
BIASHARA YA SAMAKI MOSHI/ARUSHA
Hivi karibuni nataka nianzishe biashara ya kusafirisha samaki waliokangwa pamoja na waliobanikwa kwa pamoja kutoka ziwa viktoria(Mwanza) kwa mtaji kidogo uliopo
Kiasi gani ninaweza kusafirisha inategemea na mahitaji ya wateja watakaopatikana
Kama unafanya biashara ya samaki upo Moshi au Arusha karibu tujadili, hata kama hauko interested lakini unajua wapi soko linapatikana unaweza toa ushauri
MAPENDEKEZO NA USHAURI PANAHITAJIKA KWA WENYE EXPERIENCE NA HII BIASHARA UNAKARIBISHWA
MAWASILIANO: 0756908809
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom