Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa mahitaji ya tshirt za kuprintiwa kwaajili ya familia yko, couples(wapenzi),tshirt zenye swaga za vijana,tshirt wanazoweza vaa watu wa rika lolote,tshirt zenye ujumbe wa maneno ya Mungu,tshirt...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Husika kichwa hapo juu kiwanja kipo vikonje karibu na ikulu ya chamwino kina ukubwa ekari 40 unahitaji pm Hati zipo
0 Reactions
24 Replies
2K Views
NAHITAJI TAA YA FOG UPANDE WA KUSHOTO. KAMA UNAYO PM TUONGEE BEI. GARI YA 2000 TAA SIO DUARA NI ZILE PEMBE 4. ASANTE
0 Reactions
3 Replies
817 Views
Kwa wale wanao uza au anaye jua jezi za mpira wa miguu zinapatikana wapi naomba kujua gharama zake , pamoja jinsi ya kuzipata kwa mtu aliyeko musoma. Nahitaji seti isiwe na nembo yoyote...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naitwa alex nna eneo maeneo ya tabata chang'ombe natafuta mwekezaji wa garage ya kisasa, washing pamoja na parking. Kwa mikakati na mipango zaidi tuwasiliane kupitia namba 0719168005 tufanye maajabu.
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Naitwa Alex nina eneo maeneo ya Tabata Chang'ombe, natafuta mwekezaji wa Garage ya kisasa, washing pamoja na parking. Kwa mikakati na mipango zaidi tuwasiliane kupitia namba 0719168005 tufanye...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Haloo habari zenu wanakilimo.. Naomba kuuliza kamabkuna mkulima humu wa maharage ya njano nauliza gharama yanauzwaje ? Au aina nyingine kwa kilo.
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Habari JF Natafuta chumba cha kupanga ambacho ni self contained. Bajeti yangu 50,000 na chini ya hapo. Chumba kiwe maeneo ya ligula, coco beach au raha leo. Mawasiliano yangu ni 0652112026. Hali...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
KIPO ZANZIBAR, MICHUNGWA MIWILI--NI JIRANI NA HOTELI YA KITALII YA ZANZIBAR SEA CLIFF, NI KAMA KM 20-25 KUTOKA ZANZIBAR TOWN, 20X20 METER. NI PM KWA MAELEWANO ZAIDI....KARIBU NA UFUKWE, DAKIKA 5...
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Unapendelea gari gani kwenye harusi yako au kama ulishaoa ulitumia gari gani kwenye harusi yako na kwa nini?
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Whatsapp, text or Call 0654776976. unaletewa popote ulipo kwa mkazi wa D'salaam, kwa wale wa Mikoani na nchi za jirani kama kawaida tunatuma kwa kupitia ofisi za usafirishaji mizigo na vifurushi...
1 Reactions
21 Replies
47K Views
True Ink Associates would like to Announce that the Sixth (6) CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 14/03/2016, Dar Es Salaam City Center...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
habari wakuu naomba anayejua naweza kupata mahindi na bei zake nahitaji kuanzia tani 10
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Techno mpya kabisa kwenye Box lake. Haijatumika. Nmepewa kama zawadi. Ila niko na Simu nyingine natumia. Imeizidi Techno J8 Boom, kwa manjonjo, kama vile Finger print security and Android 6.0...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Iko clean condition Ina miez mitatu toka inunuliwe dukani Storage 16gb Ios 10.2 Bei 500k fixed Contact: 0659707051
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Habari zenu wadau!mi nimelima vitunguu Moshi maeneo ya Chekereni.naulizia soko la vitunguu kwa Zanzibar,Dar na Kenya. Km kuna mtu yupo humu Wa maeneo hayo namuomba.Tusaidiane ktk hili ,nawatakia...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Salamu wakuu Nina iphone 5 yenye 16Gb , nyeusi , used ( Mimi mwenyewe toka ikiwa mpya na ilinunuliwa uk ) Bei sh 300,000 Tuwasiliane 0655064808 e
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jipatie Unlock code kwa Tshs.7000 Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y330 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 G500 Vodafone Smart VF695 V695 V785 VF795 V795 V200 VF300 Kwa mawasiliano piga 0757426730
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Nauza kwa bei ya kutupa. 1. Fridge ndogo inapiga kazi balaa. Naibwaga kwa 180,000 tu. Acha kuweka maji ya kunywa kwa fridge ya jirani.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tunatafuta tender ya kuprint tshirt za shule,kampuni,taasisi,vikundi nk ofisi zipo tabata relini tuwasiliane 0654193108
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Back
Top Bottom