albert mwakalinga
Senior Member
- Aug 27, 2015
- 126
- 48
Habari zenu wadau!mi nimelima vitunguu Moshi maeneo ya Chekereni.naulizia soko la vitunguu kwa Zanzibar,Dar na Kenya. Km kuna mtu yupo humu Wa maeneo hayo namuomba.Tusaidiane ktk hili ,nawatakia kazi njema