Mkuu ulifanikiwa kupata, nami nina shida nahitaji kujua bei kwa seti ni kiasi gani na wapi zinapatikana! Hivyo nisaidie kama ukifanikiwa...Kwa wale wanao uza au anaye jua jezi za mpira wa miguu zinapatikana wapi naomba kujua gharama zake , pamoja jinsi ya kuzipata kwa mtu aliyeko musoma.
Nahitaji seti isiwe na nembo yoyote, maandishi nitayaongeza mwenyewe