Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunakuletea tena Bonge la Event ya kufunga mwaka 2016 hii ni baada ya Member wake kuwa na kiu kubwa ya Event Kwa Ajili ya Mitandao Yote ya Kijamii Hapa BongoLand TZ na hii itafanyika pale South...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Wakuu shikamooni,wadogo marhaba. Jamani mwenzenu nina kahela kidogo, sasa nawaza cha kufanya. Kwanza niliwaza kujenga chumba na sebule ila nikaona labda niiwekeze katika biashara ili izae ndio...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung S5 Clean condition Bei 380,000 Phone with charger Serious buyer 0654766056 No exchange deals
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mafunzo haya yamekua yakitolewa kwa gharama kubwa ,Lakini Digital Poultry itatoa mafunzo haya kwa watuwote ambao wangependa kujifunza namna ya kuunda mashine za kutotoa mayai ya kuku lakini hawana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nissan xtrail Gari nimeenda nayo dodoma ila ntarudi nayo dar tar 6 january 2017. Mileage 34,324km Nipigie simu 0655 335 511 Price 9.5 ml
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Naomba kujua kwa wazoefu masuala ya ufugaji wakuu incubator bei nafuu ni tsh ngapi na hupatikana wapi ?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari za ndugu. kama nilivyo ainisha katika kichwa cha habari hapo juu. ninauza Ms Project Package pamoja na jinsi ya kuitumia Program hiyo, katika kuanzisha na kusimamia miradi mbali mbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kufahamishwa taratibu na gharama za uagizaji wa mashine ya kutotolea vifaranga toka nje ya nchi zinakuwaje ? kodi kam zipo ni kiasi gan? ghrama za bandari pia .
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Wadau nauza kiwanja changu kiko bunju b upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo,pale bunju mwisho unapanda kushoto kama kilometa 3 kwa kutumia ile njia kubwa iliyotengenezwa vizuri siku za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kupatana kwa lengo la kutaka kununua smartphone nzuri kwa gharama nafuu ghafla nimekutana na chapisho la muuzaji mmoja akiuza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa tatizo lolote la jiko lako la gas piga +255715673024_ popote ulipo dar es salaam hata kama upo mkoani hudumu itakufikia.P120191_2z.jpgDSC_1802.jpg
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wanabodi, salaam. Nimetoka sasa hivi kupokea simu mbili ambazo nimetumiwa toka nje, moja ni IPHONE 6 PLUS na SAMSUNG S5. Napenda kutumia simu za Samsung, kwa hiyo nimeamua kuuza iPhone 6 plus...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wana jukwaa nahitaji chumba cha kupanga maeneo haya Magomeni, kinondoni B, Temeke, kijitonyama, Kunduchi na Chang'ombe. Budget yangu ni kuanzia elfu 50 hadi 60. Kodi awe tayari...
0 Reactions
4 Replies
886 Views
kwa tatizo lako lolote la jiko lako linalotumia gas popote ulipo piga +255715673024_
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamii wenzangu, Ninashukuru sana kwa michango yenu yote katika toipc iliyopita ya kununua gari kwa kutumia mkopo. Ni matumaini yangu mlijifunza jambo, ingawa kuna ambao walifikiri...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajf Nilikua nauliza kama kuna mtu ana contact ya fundi mzuri wa jiko la gesi maana naona kama jiko langu halipitishi gesi vizuri na moto unakua sio mkali Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wana jf, kama heading inavyojionyesha usikubali kuwa na nguo chafu ukapata stress call 0766898009 nitafika kufua bei ya kufuliwa maelewano
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Wandugu wa JF ninahitaji kununua Premio New Model no D. Iwe na CC 1500. Bei isizidi Million 9. Tafadhali nitumie msg kwenye PM kama una gari ya aina hiyo na ipo kwenye hali nzuri
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari za majukumu wakulima na wafugaji. Nahitaji eneo la kilimo na ufugaji ekari kumi. Eneo liwe kiroka mkoani Morogoro. Njoo na bei tafadhali
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Back
Top Bottom