transporter15
Member
- Jun 1, 2015
- 68
- 20
Unapendelea gari gani kwenye harusi yako au kama ulishaoa ulitumia gari gani kwenye harusi yako na kwa nini?
Mbona umeweka sio za bongo, umechukua online
Zote ziko bongo mzeeMbona umeweka sio za bongo, umechukua online
Bei gani kukodi hiyo mercidece au range rover,kwa harusi hapa hapa Dar?Unapendelea gari gani kwenye harusi yako au kama ulishaoa ulitumia gari gani kwenye harusi yako na kwa nini?
Bei gani kukodi hiyo mercidece au range rover,kwa harusi hapa hapa Dar?
Ben inategemea kuna 350000/450000/500000/600000Bei gani kukodi hiyo mercidece au range rover,kwa harusi hapa hapa Dar?
Range 500000Bei gani kukodi hiyo mercidece au range rover,kwa harusi hapa hapa Dar?