upo mkoa ganihabari wakuu
naomba anayejua naweza kupata mahindi na bei zake nahitaji kuanzia tani 10
Segito unoge, kibali chako unapakilia wapi na shilling ngapi kwa kilo, tunaweza tukafanya biasharaNina Kibali Cha Kununulia Mahindi Aya Panda Dau Nikupe