Je, unahitaji laptop au tablet mpyaa ya kisasa kwa bei pouwa?

Vieloon

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,520
694
IMG-20170122-WA0139.jpg
IMG-20170122-WA0085.jpg
IMG-20170122-WA0076.jpg
IMG-20170122-WA0130.jpg
IMG-20170122-WA0134.jpg
IMG-20170122-WA0073.jpg
IMG-20170122-WA0133.jpg
IMG-20170122-WA0074.jpg
IMG-20170122-WA0131.jpg
IMG-20170122-WA0087.jpg
IMG-20170122-WA0070.jpg

Whatsapp, text or Call 0654776976. unaletewa popote ulipo kwa mkazi wa D'salaam, kwa wale wa Mikoani na nchi za jirani kama kawaida tunatuma kwa kupitia ofisi za usafirishaji mizigo na vifurushi.

NB: Niwaombe radhi sababu mzigo ni mkubwa inaniwia vigumu kupost hapa picha za kila moja ikiambatana na maelezo ya uwezo wake pamoja na bei ya kila moja.

Zingatia tu Bei zetu ni pouwa kuanzia 400k mpka 700k kwa laptop mpyaa, used unapata mpka za 300k..bei hizo ni baada ya punguzo la mpaka 30% ya bei halisi. Mfn. Laptop X ambayo thaman yake ni 1mil hiyo utapata kwetu kwa kati ya 700k mpaka 650k. Pia tablets, ipads na smartphones za kisasa na mpyaa zipo pia.

Hivyo mteja unaweza kuangalia bajeti yako ni ngapi then tukawasiliana...au unaweza angalia unahitaji laptop ya uwezo upi then ukanitafuta kwa namba hii 0654776976 nikakupa bei na tukaongea zaid juu ya biashara..na uzuri most of my prices are negotiable!

"vunjabei matelephones"
 
View attachment 462614View attachment 462616View attachment 462618View attachment 462620View attachment 462621View attachment 462623View attachment 462624View attachment 462625View attachment 462628View attachment 462629View attachment 462631

Whatsapp, text or Call 0654776976. Uunaletewa popote ulipo kwa mkazi wa D'salaam, kwa wale wa Mikoani na nchi za jirani kama kawaida tunatuma kwa kupitia ofisi za usafirishaji mizigo na vifurushi.

NB: Bei zetu ni pouwa na zenye punguzo mpka la 35%. Pia tablets, ipads na smartphones za kisasa na mpyaa zipo pia.
Kama una laptop ya 250 ni pm
 
Weka na range ya bei
Niwaombe radhi sababu mzigo ni mkubwa inaniwia vigumu kupost hapa picha za kila moja ikiambatana na maelezo ya uwezo wake pamoja na bei ya kila moja.

Zingatia tu Bei zetu ni pouwa kuanzia 400k mpka 700k kwa laptop mpyaa, used unapata mpka za 300k..bei hizo ni baada ya punguzo la mpaka 30% ya bei halisi. Mfn. Laptop X ambayo thaman yake ni 1mil hiyo utapata kwetu kwa kati ya 700k mpaka 650k. Pia tablets, ipads na smartphones za kisasa na mpyaa zipo pia.
Hivyo mteja unaweza kuangalia bajeti yako ni ngapi then tukawasiliana...au unaweza angalia unahitaji laptop ya uwezo upi then ukanitafuta kwa namba hii 0654776976 nikakupa bei na tukaongea zaid juu ya biashara..na uzuri most of my prices are negotiable!

Bei zipoje
 
acha mambo zako...
piga picha weka bei nikiona sawa nakucheki biashara fresh..
Hizo nilizoweka sio picha mkuu? By the way huwa tunaweka picha chache tu km sample ya mzigo uliopo, so km unataka picha zaidi namba yangu hiyo nicheki, yanini kujaza tangazo kwa picha za mzigo wote ulojaa dukan??
Km kweli unahitaji ndio maana kuna mawasiliano natoa.

Nambie unahitaji brand ipi na ya uwezo upi, dhen km ipo nitakutumia picha na info nyingne unazohitaji kujua before hujafanya maamuzi ya kununua au la.

Au pia unaweza nambia bajet yako imekaaje ili nikutumie picha za laptops unazoweza kupata kwngu kulingana na bajet yako...

Namba yangu ni hii..0654776976.
 
Back
Top Bottom