Chumba kinahitajika Mtwara mjini

Chumba kinahitajika Mtwara mjini

moe junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
910
Reaction score
947
Habari JF
Natafuta chumba cha kupanga ambacho ni self contained. Bajeti yangu 50,000 na chini ya hapo. Chumba kiwe maeneo ya ligula, coco beach au raha leo. Mawasiliano yangu ni 0652112026. Hali ya uchumi si nzuri dalali toa msaada tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom