Kiwanja kinauzwa dodoma

ghetopuzzle

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
440
504
Husika kichwa hapo juu kiwanja kipo vikonje karibu na ikulu ya chamwino kina ukubwa ekari 40 unahitaji pm
Hati zipo
 
umesema hiko kiwanja ni ekari 40?? ekari moja ni sawa na 4047sqm, hvyo nachukua 4047×40 = 161880 , kwa hyo hcho kiwanja chako kina ukubwa wa square metre 161880. shikamoo
 
Ni eneo la wazi mkuu...lenye ukubwa huo ok labda niseme ni eneo la wazi lenye ukubwa huo
 
umesema hiko kiwanja ni ekari 40?? ekari moja ni sawa na 4047sqm, hvyo nachukua 4047×40 = 161880 , kwa hyo hcho kiwanja chako kina ukubwa wa square metre 161880. shikamoo
Mkuu kwa hizo square meter mbona ni ndogo tu kuna maeneo yana ukubwa zaid ya hyo huamin unalelekwa unaprove
 
Husika kichwa hapo juu kiwanja kipo vikonje karibu na ikulu ya chamwino kina ukubwa ekari 40 unahitaji pm
Hati zipo
Kulonga chichi mwana gwegwe!?.....eneo l wazi hujaliendeleza? Au shamba? VP kuna maji karibu? Maana Dom no shida!!!!!......hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom