Kiwanja kinauzwa

mtu kitu

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
702
508
KIPO ZANZIBAR, MICHUNGWA MIWILI--NI JIRANI NA HOTELI YA KITALII YA ZANZIBAR SEA CLIFF, NI KAMA KM 20-25 KUTOKA ZANZIBAR TOWN, 20X20 METER.

NI PM KWA MAELEWANO ZAIDI....KARIBU NA UFUKWE, DAKIKA 5 ZA MATEMBEZI MPAKA UFUKWENI...

Google Maps
 
Naogopa kuulizia bei...

Pia naogopa kukinunua hata kama bei ni ya chini.. Hii ya Anko Magu kutokuhudhuria sherehe za kupinduana... Nna mashaka na hatima ya haka kamuungano... Wazenji hamchelewi kutupindua wabara siku moja.

Ngoja nikasake shamba Mtipimbwi kule nimuunge mkono prezidaa kufanya kazi ya kilimo, hata kama hakuna mvua... Kitaeleweka tu.
 
Nadhani bado sheria ya wa Tanganyika kumiliki ardhi zanzibar haijaruhusu
 
Watanganyika Hawajaruhusiwa Kumiliki Ardhi Zanzibar na Pia Hata Sheha hatokubali kutia saini kama Jina la mnunuzi sio Makame,Fahami and the like.
 
Wapo kibao wanatokea " Tanganyika " na wanamiliki ardhi na nyumba, na wengine wapo serikalini ngazi za juu...ukiogopa kelele za mlango, hutolala.....Jirani zangu wanatokea bara na wamenunua nyumba na sasa wana mpango wa kununua shamba ili walime .....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom