Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wanajamii, tunatoa Huduma ya fire service yamitungi ujazo tofauti kilo 6,9,25,50, Huduma bora na service unafanyiwa kila banda ya miezi sita,tunauza pia karibuni Sana 'tunakuletea popote...
0 Reactions
5 Replies
809 Views
Chumba kipo Mwenge near TRA, Dar es salaam, kipo mahali tulivu na salama kipo ndani ya geti na paking ni kubwa, sehemu ina wapangaji wa chache na uhuru ni wako mpangaji, Bei ni 80,000 kwa mwezi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Laptop laptop laptop nauza Acer aspire 8730G hdd 250gb ram 3gb processor core2 duo 18.4" display kwa wacheza game ina nvidia speed 2ghz betri nayo nzima..bei 280,000 maongezi yapo. Hp mini...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jipatie Unlock code Tshs.7000 Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y330 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 G500 Vodafone Smart VF695 V695 V785 VF795 V795 V200 VF300 Kwa mawasiliano piga 0757426730 tembelea TOP...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibuni mjipatie raba nzuri kwa sh 35000 tu Hatuna duka tunauza online lakini kwa uaminifu mkubwa Njoo uweke order yako kwa kuchagua aina ya kiatu na size unayotaka Tuna raba nzuri nyingine...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua wapi vinauzwa hivyo ving'amuzi hapa Dar na bei yake kwa sasa. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
698 Views
Ifanye nyumba yako, chumba chako au sebule yako kuwa na muonekano kwenye mvuto wa Aina yakeee. Kwa kutumia Wallpapers zenye ubora wa hali ya juu kutoka K-TRUST itaifanya nyumba yako kuwa na mvuto...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar zenu wanajf, Mimi nipo Tanga naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata pikpik aina ya Honda MD90 kwa dar es salaam na zinarange kwenye bei gani...natanguliza shukran.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Karibuni mjipatie raba nzuri kwa sh 35000 tu Hatuna duka tunauza online lakini kwa uaminifu mkubwa Njoo uweke order yako kwa kuchagua aina ya kiatu na size unayotaka Tuna raba nzuri nyingine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye nao tuwasiliane prvt
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Jinsi ya kupost link hum jf na jinsi ya kupost video na picha , kila nikijaribu inagoma nisaidien
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Karibu Autoguru workshop kwa kazi za aluminium na PVC kwa gharama nafuu zaidi kwa ajili ya nyumba yako au ofisi yako. Tunapatikana Kinondoni Manyanya mkabala na msikiti wa BAKWATA mtaa wa Brazil...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wana Jukwaa Habarini Nimekuwa nikipambana kwa muda wa miezi miwili sasa kumuuguza Bi Mkubwa Muhimbili. Juzi nimepewa Rufaa nimpeleke India kwa matibabu zaidi. Nikiangalia mfukoni hali haijakaa...
7 Reactions
76 Replies
10K Views
Nimejaribu kuuliza voda house niliponunulia hii simu lakini nao hawajui chochote, simu ni nzuri tu lakini nauliza kwa wewe ambae umeshatumia hizi simu spare zake ulipata wapi? Kuna simu nzuri tu...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
No garo bado mpya IPP ktka hali nzuri, in no d, bei m 5.8
1 Reactions
12 Replies
3K Views
CeosTanzania hub ni group la whatssap linalokutanisha Wadau wa biashara kutoka mikoa Tofauti Tanzania lengo ni kujadili, kupeana Elimu inayohusu Uongozi, Ujasiliamali na Biashara. Kila mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Kama tangazo linavyosomeka ningependa kufahamu gharama za manunuzi ya machine ya kusaga nafaka pamoja mahali zinapoatikana. Ningependa kufahamu pia taratibu nyingine za...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Tafadhali, husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mashine ya kukamulia miwa kwa ajili ya kutengeneza sharubati ya miwa. Kwa anayejua zinapopatikana tuwasiliane: 0713 111171
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Dont PM. Wewe njoo whatsapp au call tu kupitia digits hizi.... +255 718515171. tciao.!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
HABARI MWENYE KUJUA COSTS ZA GARI ZA CMC ATUJUZE hawawek costs za FORD , JAGUAR hata LAND ROVER msaada plz kwa cc wa mikoani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom